Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usile yai:-
lililopata ufa
lililotoboka
lenye harufu kali ama kidogo
lisilo na harufu kabisa ya yai
lililojepesi yaani halizami kwenye maji mfano kwenye bakuli
Njia nzuri ya kupata yai salama ni kwa kufuga kuku mwenyewe na kama hutaweza kwa sababu mbalimbali basi nunua mayai kwa mtu anayefuga mwenyewe ili kuwa na uhakika wa usalama wa afya yako.
 
e4f38fe2-7fb0-477d-a82b-4dde2ad42509.jpeg
 
Back
Top Bottom