Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,012
- 54,174
Utani wa like mpendwaUnaenda wapi mpendwa?
Utani wa like mpendwaUnaenda wapi mpendwa?
Hahahahaha huyo itakua tumetibuana kwenye ligi za zari na misukule ya mange. Humu hamna anayenifahamuInawezekana mna fahamiana maana anakuchukia balaa. Na ni mtu mwenye umri mkubwa tu
Usijali mpendwa ni utani 😍😍Unaenda wapi?
Kwenye kabisa anko,wengi wasiojitambua wanatumia njia hizo kama kulipiza kisasi kwa kukosa kile wakitakacho toka kwa mhusikaHuo ni upuuzi kabisa. Kumuumiza mwanamke kwa namna hiyo ni uuaji na ni wale tu wanaume ambao hawaja kamilika wana fanya hivyo.
Aah sawa. Duh tungekumiss sanaUsijali mpendwa ni utani 😍😍
Vicheko vya kwenye mitandao sivijali tena, kuna mwalimu yule wa Atown kwenye ule uzi maarufu kwa sasa anawadhihaki wenzie lakini yeye alivyo... Mhhh.
Ee ile hasa ile misukule ya mange hainipendi balaaHv kuna watu wanachukiana humu???
Khaaaaa
Been absolutely fine..Nmekumiss sana ujue,
How are You?
HahahahaKwema, nipo nakunywa kahawa, karanga mbichi, nazi za kutafuna, tende, baadaye nashushia supu ya pweza
Sema yule jamaa anajikutaga ana akili kubwa na Pala lake kama tofali😀😀😀Menina daah
Kabadili dini juzi juzi
Kaolewa ndoa mbili moja kamkimbia mumewe nyingine kaachika
Mvujisha picha na video ni mwijaku