andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 18,709
- 119,601
Hata wewe?!! Mimi ni yule yule sibadiliki sana zaidi ya makunyanzi ya usoniHv na ww ulijiselfiisha, mbona sikukuoma.
Hebu jirudie aisee
Hata wewe?!! Mimi ni yule yule sibadiliki sana zaidi ya makunyanzi ya usoniHv na ww ulijiselfiisha, mbona sikukuoma.
Hebu jirudie aisee
Usinitege.Hv kuna watu wanachukiana humu???
Khaaaaa
Ni kweli kabisa....feedback inasaidia ili mtu afahamu sehemu gani hakufanya vizuri ili aweze kuboresha na kufanikiwa katika intrerview zingineI think HR managers should give unsuccessful interview applicants feedback. Tell them the reason why they were not chosen, so they won't keep repeating same mistakes in every interview!!!
KgY
Salaam mzee wa pwani... Mvua hizi mzee mwenzangu, kwema?
Aisee!!!
Hili limbuzi litakuwa na ndude kubwa sana
Ukaipeenda
Ni utani mpendwaUnataka kuhamia nchi gani ambako utashindwa kuja kwenye uzi huu?
Usifanye hivyo mpendwa wetu