moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 125,650
- 690,377
Mai waifu hebu niwache kwanza, moudgulf anakuita kwenye mieleka mkamjadili Koffi... Natafuta style mwenzio niacheee
Nsamaka, Nsamakaaaaaa...Abeeeee, unaniita au
Nsamaka, Nsamakaaaaaa...
Unataka niongee Kisukuma ndo unielewe? Rudi nyumbani nitakukuta baadae
Nihame na haya mahanjumati nitayapatia wapiAnaiita wapi na wkt mie ndio nimekuja kukufuata maana huku hutaki kuhama
Hapo sasa na mwijaku kalala polisi siku mbili kisa hii video. Sijui kwann wadada wanamshobokea mwijakuNa uongeaji wa Mwijaku amepona kupanguliwa kweli?
Ankoo 🏃Nimeona ile ya kutingisha minyama. Nimejisemea tu hiiiii...
Nitaumisi sana huu uzi
Kitu kama kondooAngalia kwa makini kisha tuambie umeona nini?View attachment 1228825
King'ang'anizi kama nini sijui?!!!Nakusubiri turudi wote.