moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 125,787
- 691,015
Asalaam Alyekum
Ni msemo mpya kwangu, kwa mara ya kwanza nmesikia jana.Msemo wa kujimwambafai umerudi tena? Ulikuwa msemo maarufu sana wa profesa mmoja mwenye majivuno pale mlimani aliyekuwa akiitwa Profesa Ngwalle. Nadhani alikuwa wa DS (Rural Development) kama sikosei....
Njema, hujambo Bro Moud?Habari zenu
You can stop people from speaking, but you cannot ban them from thinking.
Wa alaykum salamAsalaam Alyekum
Kauli nyingine bhana!
Smh!
Shwari kabisa....za kwakoHabari zenu
Hii mvua Leo
Sijambo bwana Moud, vipi wewe.!