Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 268,184
- 1,095,288
Swalama kabisa kama hivi yaaniHawayuniiii?
Swalama kabisa kama hivi yaaniHawayuniiii?
Hahah! Wewe endelea tu ila me najua wapi pakukushikiaau nimalizie na moja ya mwisho
#davetmakucha
Davet hizo comment zako zimekalia kiuchochezi zaidi, kiukweli sikuwa na dhamira yoyote ya kuanzisha mabishano dhidi ya Bradha.
teh teh teh
nilichokusudia nimuingize kwenye mtego then wabishane na Numbisa baadae mjinga mimi niwe na kazi ya kuchochea kuni kila upande kama bilisi.
bahati mbaya mkakati ulifeli njiani.
Geita: Wafanyabiashara wafunga maduka wakishinikiza mwenzao mgeni kulipa kreti ya soda kama kiingilio
Wafanyabiashara kijiji cha Nyamigana kata ya Kagu wilayani Geita wamefunga maduka yao na kugoma kuendelea na biashara baada ya mfanyabiashara mgeni aliyehamia kijijini hapo kugoma kutoa kreti moja ya soda kama kiingilio. Ofisa mtendaji wa kijiji hicho, Mugwe Sabuni amesema wafanyabiashara hao...www.jamiiforums.com
Dahhh!!!Wapi AndjulView attachment 1227877