Hawayuniiii?
Swalama kabisa kama hivi yaani
71104793_523661398204737_2159216307497113750_n.jpg
 
Davet hizo comment zako zimekalia kiuchochezi zaidi, kiukweli sikuwa na dhamira yoyote ya kuanzisha mabishano dhidi ya Bradha.
teh teh teh
nilichokusudia nimuingize kwenye mtego then wabishane na Numbisa baadae mjinga mimi niwe na kazi ya kuchochea kuni kila upande kama bilisi.

bahati mbaya mkakati ulifeli njiani.
raw.gif
 
Kwa mujibu wa utafiti uliofanyika nchini Marekani, sayari ya Satani imeipiku sayari ya Jupita kuwa mbalamwezi nyingi.
Watafiti hao wamebaini kuwa na mizunguko mipya 20 katika mwezi ambao imezunguka ulimwengu na kufikia idadi ya 82, hii ni utofauti na Jupita ambayo ina satelaiti 79 za asili.
Miezi hiyo ilibainika kwa darubini ya subaru katika Hawaii.
 
Dkt. Sheppard aliiambia BBC kuwa Jupita ndio sayari ilijulikana kuwa karibu zaidi na mwezi tangu mwishoni mwa mwaka 1990.
Wanasayansi wanadhani kuwa mizunguko ya mbali na karibu ya mwezi inaweza kugawanyika mara tatu.
Vitu hivi vikubwa huvutwa na mgongano kati ya mwezi katika mzunguko.
 
Uvumbuzi mpya wa mzunguko wa sayari unajulikana kama satelaiti ya Satani.
"Mbalamwezi inayozungukwa na Satani iko mbali kidogo, hivyo hatuwezi kufikiria kuwa zimeundwa na sayari, ila tunadhani kuwa ilitengenezwa na sayari miaka ya nyuma. Kama sayari ikipita leo huwezi kupata kumbukumbu leo kwa sababu nguvu iliyotumika inaweza kuonekana baada ya muda," Dkt Sheppard aliiambia BBC News.
 
Tunadhani kuwa mbalamwezi ina uhusiano na gesi na vumbi," alielezea Dkt Sheppard.
"Mizunguko mingi katika sayari huwa inasaidiwa na sayari yenyewe.
Hivyo zilionekana katika mzunguko kuzunguka katika sayari tofauti na kuanguka ndani ya sayari. Tunadhani kuwa mizunguko hii ya mwisho ndio ilifanya Satani kuwa karibu."
 
915 Reactions
Reply
Back
Top Bottom