moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 125,254
- 688,254
Wewe unaonaje kamanda? Toa maelekezo watu walioamua kukutana hapa kucheka na kufurahi unataka wafanye nini. Watafuata maelekezo yako !!!Jf bhana sasa hizi likes zina kazi gani ? Au badae zitakuja kuwa coins ??
Tiba ya nini hii?
Calories kibao hapa ila faida lukuki...
Potassium kibao. Kinga nzuri kwa magonjwa ya moyo. Pata angalau moja kila siku