Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 268,099
- 1,095,111
Hahahaha jamaniiiiNo 35 aisee una mguu mdogo
Hahahaha jamaniiiiNo 35 aisee una mguu mdogo
Hahahaha duh mmeniamlia
Mdogo sana.No 35 aisee una mguu mdogo
hahahahahaaNani huyo anaekuponza mzee?
Sedimentary rocks formation...
Kwema The Don, Shikamoo...!Jiniazi yule. Alivyoelezea tofauti ya wedding na welding hata Aristoto asingeweza...
Kwema lakini TH?
Asante Mama, ndo nakuja hivyo hvyo hata kama kimekuwa kiporo13:02
Karibu kula dear The Happiness
Mtunza kumbukumbu hapa ni mimi. Depal rusha hiyo picha kwangu halafu nitaiediti na kuiweka hapa...
Itupie kwenye PM yangu, mi ndiye edita wa picha