Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,787
- 45,248
ile 35 ni umri au size ya kiatu?Team wahenga tupo vizuriView attachment 1204380
πππππββοΈπββοΈπββοΈ
ile 35 ni umri au size ya kiatu?Team wahenga tupo vizuriView attachment 1204380
Tupia bana mbona mie nimetupiaAtakatuma mwakilishi me naogopa kukatuma π
Hahahahaha umri banaile 35 ni umri au size ya kiatu?
πππππββοΈπββοΈπββοΈ
Ukiona anasuasua ujue inaweza kutupofua macho.Tupia bana mbona mie nimetupiaView attachment 1204385
Kabisa ππUkiona anasuasua ujue inaweza kutupofua macho.
Hamna umri wako hapo.Hahahahaha umri bana
#ntawaoneajebentenwahumu
#nawotetusemeshikamoonumby
Hazardous Waste Material Removal crew...Tupia bana mbona mie nimetupiaView attachment 1204385
Jamani ππHaya sasa. Picha ya Depal ishafika kwa mtunza kumbukumbu wa uzi. Wala siyo picha ya kutisha. Ni picha ya baharia tu ambaye, baada ya vyuma kukaza, anajaribu kuwa mwanafalsa kwa kujiuliza maswali magumu na kujijibu mwenyewe
View attachment 1204392
Siku iko Poa kabisaShwari kabisa, hofu kwako.
Siku inaendaje?
#HebuNioneHiyoAlbumBasi
Team wahenga tupo vizuriView attachment 1204380
Atakatuma mwakilishi me naogopa kukatuma
Haya sasa. Picha ya Depal ishafika kwa mtunza kumbukumbu wa uzi. Wala siyo picha ya kutisha. Ni picha ya baharia tu ambaye, baada ya vyuma kukaza, anajaribu kuwa mwanafalsa kwa kujiuliza maswali magumu na kujijibu mwenyewe
View attachment 1204392
No 35 aisee una mguu mdogoTeam wahenga tupo vizuriView attachment 1204380
Nani huyo anaekuponza mzee?Kitambo sana.
#KunaJamaaHuwaAnaniponza