Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kweli mkuu
Nje ya mada hivi JF wanautaratibu gani kama member amefariki hili members wengine tujue hizi fake ids shida kidogo
Tena ile ajali ya mafuta Moro Numbisa alikuwa na wasiwasi nawe sana. Kilicho saidia nilikuchungulia kwa kutumia darubini yangu, nikaona umekumbatia mi kvant werevaaa kibaoo, nikajisemea tu "huyu shwaini watu tuna kosa hadi likes kumbe yupo hapa na mibotolo yote hii..."

Mungu ni mwema, nikifa mimi kwa ukaribu huu wiki halitapita itakuwa imesha julikana... Usiulize kwanini hatuwatafuti ho chi minh na Kichwa Kichafu au ISIS (huyu ni kama nimemuona kwake juzi kama sio mdogo wake) hao achana nao, uniq hajadedi bado, taarifa ingefika maana shemeji babe S muda mwingi namuona sehemu.Ila Nsamaka namuwakilisha mimi... Kwa suala la mzaramo huwa Majamaa wana taarifa naye...
 
Talanta eeeh!?

Mnazizalisha au mmezifukia chini kama yule mchovu wa kwenye maandiko?
Yule hakuwa mchovu ukiangalia kwa jicho la tatu hilo andiko watu wote wanamlaumu yule aliyefukia lakini kiuhalisia alikuwa sahihi
Kwa sababu alimwambia wewe bwana wangu najua unavuna usipopanda ,unakusanya usipotawanya najua roho yako ilivyo ngumu tamaza nilifukia talanta yako ardhini na hii hapa nimekurudishia iliyoyako
Hapo naona alikuwa sahihi kabisa hakuwa mchovu alijua boss wake yuko vipi
 
Back
Top Bottom