Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,173
- 1,077,253
#KuchapiwaHakuepukikiNadhani sheria za jf haziniruhu kutaja ID yako kamili unayotumia humu na Mimi pia sintofanya hivyo kwa kulinda maadili na heshima yako.
Kama utafanikiwa kuuona Uzi huu kabla haujafutwa basis itakuwa bahati kwako. Ni hivi baba Nasma(baba Hussein, baba Omary) maana una watoto watatu. Nenda Rashka Lodge Magomeni kanisani pale ulipoweka order ya kutengenezewa Sofa. Mkeo yupo na yule fundi masofa muda huu wameingia chumba namba 34 kinachoitwa Tabora muda huu.
Nadhani unajua kuwa mkeo amekuaga kuwa anakwenda SIMU 2000 kwa shangazi yake (bibi joha au siwema) eti wanakwenda kupanga mambo ya hitma au arobaini ya yule kijana aliyekufa kwa ajali ya bodaboda ,(Abdallah juma).
Mkeo sio mkweli amekudanganya hayupo SIMU 2000 yupo Rashka lodge, Magomeni anagegedwa na yule funding wako wa masofa bwana Deus au maarufu kama 'kijicho'.
Na mpango huu wrote umesukea na Shemeji yako mama Nadya (Sikuzani) kwani alipewa sh. 34000 na bwana kijicho na ameaidiwa sh. 20000 atamaliziwa kesho saa nane mchana.
Nimetumia JF kukupa taarifa hii kwani ndiyo njia salama kwangu mimi.
Kwa ufafanuzi huu tayari utakuwa umeshajijua Baba Nasma. Kama utabahatika kuuona Uzi huu basi mambo ndiyo yapo ivyo mkuu. Mkeo anapigwa pampu muda huu.
Pole sana mkuu.
Baba Nasma popote ulipo nenda Rashka Lodge usiku huu haraka sana
Nadhani sheria za jf haziniruhu kutaja ID yako kamili unayotumia humu na Mimi pia sintofanya hivyo kwa kulinda maadili na heshima yako. Kama utafanikiwa kuuona Uzi huu kabla haujafutwa basis itakuwa bahati kwako. Ni hivi baba Nasma(baba Hussein, baba Omary) maana una watoto watatu. Nenda Rashka...www.jamiiforums.com
🗑🗑#KuchapiwaHakuepukiki
#Kuchapiwanisiriyandani
#Kitandahakizaiharamu
Aisee, hatari sana.Nadhani sheria za jf haziniruhu kutaja ID yako kamili unayotumia humu na Mimi pia sintofanya hivyo kwa kulinda maadili na heshima yako.
Kama utafanikiwa kuuona Uzi huu kabla haujafutwa basis itakuwa bahati kwako. Ni hivi baba Nasma(baba Hussein, baba Omary) maana una watoto watatu. Nenda Rashka Lodge Magomeni kanisani pale ulipoweka order ya kutengenezewa Sofa. Mkeo yupo na yule fundi masofa muda huu wameingia chumba namba 34 kinachoitwa Tabora muda huu.
Nadhani unajua kuwa mkeo amekuaga kuwa anakwenda SIMU 2000 kwa shangazi yake (bibi joha au siwema) eti wanakwenda kupanga mambo ya hitma au arobaini ya yule kijana aliyekufa kwa ajali ya bodaboda ,(Abdallah juma).
Mkeo sio mkweli amekudanganya hayupo SIMU 2000 yupo Rashka lodge, Magomeni anagegedwa na yule funding wako wa masofa bwana Deus au maarufu kama 'kijicho'.
Na mpango huu wrote umesukea na Shemeji yako mama Nadya (Sikuzani) kwani alipewa sh. 34000 na bwana kijicho na ameaidiwa sh. 20000 atamaliziwa kesho saa nane mchana.
Nimetumia JF kukupa taarifa hii kwani ndiyo njia salama kwangu mimi.
Kwa ufafanuzi huu tayari utakuwa umeshajijua Baba Nasma. Kama utabahatika kuuona Uzi huu basi mambo ndiyo yapo ivyo mkuu. Mkeo anapigwa pampu muda huu.
Pole sana mkuu.
Baba Nasma popote ulipo nenda Rashka Lodge usiku huu haraka sana
Nadhani sheria za jf haziniruhu kutaja ID yako kamili unayotumia humu na Mimi pia sintofanya hivyo kwa kulinda maadili na heshima yako. Kama utafanikiwa kuuona Uzi huu kabla haujafutwa basis itakuwa bahati kwako. Ni hivi baba Nasma(baba Hussein, baba Omary) maana una watoto watatu. Nenda Rashka...www.jamiiforums.com
Yamenikuta mwenzenu.....
hebu tulia kwanza hesabu 1 mpaka 100,,, halafu tuambie yaliyokusibu,,NB Kukimbia tatizo sio suluhisho.....www.jamiiforums.com