Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,201
- 1,077,331
Siku hizi unaaga/unalala mapema sana. Kulikoni?G n i g h t P p l
Siku hizi unaaga/unalala mapema sana. Kulikoni?G n i g h t P p l
Mimi nawalaumu na hawa wanaodhalilishwa. Kwa nini usikatae? Ni sawa na yule Dr wa hesabu wa mlimani aliyedhalilishwa na Muro kule Monduli kwa kutukanwa kama mbwa. Wabongo tumezidi woga na kujipendekeza. Mtu kama huyu kwanza hana hata uwezo wa kumfukuza kazi. Mama mtaalamu kabisa wa afya...Inahuzunisha sana !!!Aisee yaani dah hivi huu utawala una laana si bure huku sio Kujipendekeza kumepitiliza,yaani wanacheka mama amepiga magoti .
Cole huu ni ugonjwa. U need help
Inasikitisha sana.Hivi alishindwa nini hapo kumpiga vichwa viwili mdomoni yaani mimi kwa hasira zangu hizi kazi ingeishia siku hiyo.Mimi nawalaumu na hawa wanaodhalilishwa. Kwa nini usikatae? Ni sawa na yule Dr wa hesabu wa mlimani aliyedhalilishwa na Muro kule Monduli kwa kutukanwa kama mbwa. Wabongo tumezidi woga na kujipendekeza. Mtu kama huyu kwanza hana hata uwezo wa kumfukuza kazi. Mama mtaalamu kabisa wa afya...Inahuzunisha sana !!!
Huna haja hata ya kumpiga utakwenda jela bure. Unamuuliza tu kwa dhati kabisa "Ni kwa mamlaka gani na mwongozo upi wa kazi yangu unaniambia nipige magoti? Ni sheria gani ya kazi inayokupa mamlaka ya kunidhalilisha?" Halafu kaa kimya uangalie sinema ya bure...Shida sisi waoga na hatujiamini.Inasikitisha sana.Hivi alishindwa nini hapo kumpiga vichwa viwili mdomoni yaani mimi kwa hasira zangu hizi kazi ingeishia siku hiyo.
Mpendwa huu utawala unafata sheria Unaweza kuuliza maswali hayo matokea yake ukabambikiziwa kesi.Huu ni utawala ambao haufati sheria.Huna haja hata ya kumpiga utakwenda jela bure. Unamuuliza tu kwa dhati kabisa "Ni kwa mamlaka gani na mwongozo upi wa kazi yangu unaniambia nipige magoti? Ni sheria gani ya kazi inayokupa mamlaka ya kunidhalilisha?" Halafu kaa kimya uangalie sinema ya bure...Shida sisi waoga na hatujiamini.