myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 147,583
- 656,090
Iwe siku ya baraka na neema
AiseeKongamano la vimbaombao (japo na vyenye "afya" vimo)
View attachment 1180748
✔✔Brazil....mulattoes...
View attachment 1180749
Itakua mwanamke alichomoa betriHABARI: Mwanaume afia kifuani mwa mwanamke wakishiriki tendo la ndoa kwenye shamba la mahindi Mwanaume mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Julius Bor (35) amefariki dunia akiwa katika shamba la mahindi katika Jimbo la Kapseret lililopo Kaunti ya Uasin Gishu nchini Kenya. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Polisi Mjini Kapseret, Imeeleza kuwa kabla ya umauti, Julius Bor alikuwa na mama mmoja aliyejitambulisha kwa majina Misik Cheruto (40) wakinywa pombe za kienyeji na baadae walikubaliana kutoka kimapenzi. Polisi wamesema baada ya makubaliano hayo, Wawili hao waliingia katika shamba la mahindi ambalo lipo karibu na nyumba waliyokuwa wanakunywa na kufanya mapenzi. Mwanamama Misik Cheruto ambaye anashikiliwa na jeshi la polisi, Amesema kuwa Mwanaume huyo alianguka kifuani mwake baada ya tendo la ndoa .
Tunachomea mahindiHizi likes zinakazi gani kwani ?
Tunachomea mahindi
Weweeee. Unataka watu tutoke ndukiiiHodi humu
Nichomoe betri ?
HABARI: Mwanaume afia kifuani mwa mwanamke wakishiriki tendo la ndoa kwenye shamba la mahindi Mwanaume mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Julius Bor (35) amefariki dunia akiwa katika shamba la mahindi katika Jimbo la Kapseret lililopo Kaunti ya Uasin Gishu nchini Kenya. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Polisi Mjini Kapseret, Imeeleza kuwa kabla ya umauti, Julius Bor alikuwa na mama mmoja aliyejitambulisha kwa majina Misik Cheruto (40) wakinywa pombe za kienyeji na baadae walikubaliana kutoka kimapenzi. Polisi wamesema baada ya makubaliano hayo, Wawili hao waliingia katika shamba la mahindi ambalo lipo karibu na nyumba waliyokuwa wanakunywa na kufanya mapenzi. Mwanamama Misik Cheruto ambaye anashikiliwa na jeshi la polisi, Amesema kuwa Mwanaume huyo alianguka kifuani mwake baada ya tendo la ndoa .
Just a post my friend.Wewe ni KE mkuu or its just a post?
😅😅😅😅 sijaiona hiyo.Imeshapita hiyo ya kuoga sasa kuna mpya ya kupambana na wanaume walaghai