Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,120
- 201,131
Hahah! Itabidi ucheze defensive game mana Messi hana dogo ata kwenye game
Ana balaa akigusa mnaitwa kati
Hahah! Itabidi ucheze defensive game mana Messi hana dogo ata kwenye game
Beautiful song
.BARCELONA imefanikiwa kuinasa saini ya winga mahiri wa kimataifa wa Ufaransa, Antoine Griezmann kutoka Atletico Madrid.
Ludovic Giuly 2004-2007, Thiery Henry 2007-2010Huyu si Mfaransa wa kwanza kukipiga Nou Camp. Zamani kulikuwa na mastaa wa Kifaransa waliocheza Nou Camp kama kina René Victor Fenouillère (1902-1903), Henry Normand (1908-1909), Jim Carlier (1913-1914), Maurice Bigué (1913-1914), Jean Verdoux (1917-1918), Peijean (1928), Jules Robisco (1948) na Lucien Müller (1965-1968).
Nimetafuta hapa sijaona au walituma maombi livescore watoe matokeo yao?Hii habari ni kweli
View attachment 1156676
Nakumbuka jana uliomba kuona tumbo bro. Ajabu wote tukawa macho kodo. Hata kagumu ka KaYego nako kalipiga foleni
Yeye haya mambo hayamhusu...
Kigogo wa chama na serikali
Nimetafuta hapa sijaona au walituma maombi livescore watoe matokeo yao?View attachment 1156693
Siku hizi "umaarufu" wangu umeporomoka kwa kasi ya kutisha. Inanibidi kuweka maangalizo kwanza. Nimechoka kuchezea iginoa listi zisizo na sababuNilikuona umeomba kudandia treni kwa mbele