The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,965
- 45,350
haha, nimesikia The Don himself🤓Thanks bro...
TH umesikia maneno ya bro?. No iginoa listi please
haha, nimesikia The Don himself🤓Thanks bro...
TH umesikia maneno ya bro?. No iginoa listi please
Japo sio andaeitini ila am forever young
Hivi hatuwezi kufanya kitu tukakata kiu yetu ya kumuona Fraggy laivu jamani? Mbona anatutesa hivi? Capital ni kama mtu wa sita sasa kuthibitisha kuwa ni moto balaa. Wi havu tu du samuthingi kwikili...
Mimi nakuamini bro
Pesa...pesa....pesaaaaa....
Anapata folowazi wengi kwenye akaunti zake...na anachaji pesa zaidi mtu akitaka kutangaza biashara yake huko...
Pia ni exposure kwa mapedeshee; na dau linapanda. Ukimparamia hapo kupiga kwa muda si ajabu ukaambiwa milioni kadhaa...na watu wanatoa. Mahari kumuoa alishasema milioni 10 baadaye zikapanda mpaka milioni 30. Watu wananunua tiketi za ndege first classs kumuagiza kwenda Dubai, Sauzi mpaka USA ili wakaspend naye good time. Ni biashara kubwa hii bro na kwa sasa changudoa si lazima asimame barabarani...
Sis ni andaeitini sema tu huwa anabihevu vere machua ukiongezea na upole wake basi anaonekana kama vile siyo. She is under 30 tena mbali mbali huko kabisa sawa tu na maandaeitini wengi humu...Andaeitini inatumika kama gap tu kati ya wahenga na kizazi kipya, haina maana hawa andaeitini ni andaeitini
Yeah I believe you are forever young
Hivi hatuwezi kufanya kitu tukakata kiu yetu ya kumuona Fraggy laivu jamani? Mbona anatutesa hivi? Capital ni kama mtu wa sita sasa kuthibitisha kuwa ni moto balaa. Wi havu tu du samuthingi kwikili...
Eti the Don himself. Jamanihaha, nimesikia The Don himself
Sis ni andaeitini sema tu huwa anabihevu vere machua ukiongezea na upole wake basi anaonekana kama vile siyo. She is under 30 tena mbali mbali huko kabisa sawa tu na maandaeitini wengi humu...
Hii kazi ngumu but doable...Bro unajua Mimi siwezi labda kazi hii tukuachie wewe ukizingia server yako ni kubwa
Siyo nimemshtukia. Huo ndo ukweli !!!Umemshtukia kumbe sema hapa lazima aje kuweka record sawa
Hii kazi ngumu but doable...
Nitaleta mrejesho wallahi
Mh! Chupx size ngapi?