Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

61761885_435365117046322_5630694068344677865_n.jpg
 
Pesa...pesa....pesaaaaa....

Anapata folowazi wengi kwenye akaunti zake...na anachaji pesa zaidi mtu akitaka kutangaza biashara yake huko...

Pia ni exposure kwa mapedeshee; na dau linapanda. Ukimparamia hapo kupiga kwa muda si ajabu ukaambiwa milioni kadhaa...na watu wanatoa. Mahari kumuoa alishasema milioni 10 baadaye zikapanda mpaka milioni 30. Watu wananunua tiketi za ndege first classs kumuagiza kwenda Dubai, Sauzi mpaka USA ili wakaspend naye good time. Ni biashara kubwa hii bro na kwa sasa changudoa si lazima asimame barabarani...

Hii shule niliyoipata itanifungua kuelewa zikiwa zinatumwa picha kama hizi, huu kweli ulimwengu wa samaki mkubwa Anamla mdogo
 
Andaeitini inatumika kama gap tu kati ya wahenga na kizazi kipya, haina maana hawa andaeitini ni andaeitini
Yeah I believe you are forever young
Sis ni andaeitini sema tu huwa anabihevu vere machua ukiongezea na upole wake basi anaonekana kama vile siyo. She is under 30 tena mbali mbali huko kabisa sawa tu na maandaeitini wengi humu...
 
Back
Top Bottom