Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20190612-101625~2.jpeg
 
Huku kwema mdogo wangu. Habari ya Vingunguti ? Muda wote nakuombea.
Yalikuwa mapito ya ujanani hayo, mimi na SYB tulikaa mtaa ambao ulikuwa na mabinti wakali kuliko mitaa yote ya Wailes
Tumshukuru Mungu sana. Mtaa ule kwangu ndo ulikuwa Yunivasite aisee. Nilijifunza mengi kuhusu maisha na mahusiano na watu; hasa hasa suala la mademu pale. Sasa hivi pamebadilika nimepita pale juzi hovyo tu yaani...
 
Huku kwema mdogo wangu. Habari ya Vingunguti ? Muda wote nakuombea.
Yalikuwa mapito ya ujanani hayo, mimi na SYB tulikaa mtaa ambao ulikuwa na mabinti wakali kuliko mitaa yote ya Wailes

Vingunguti kwema sana, uhai upo na uzima hatulalamiki, nashukuru kwa maombi ndugu yangu, Mungu awalinde sana, Temeki wailesi naielewa mitaa hiyo story zenu muhimu zina mengi ndani yake
 
Back
Top Bottom