AsanteWasafiri poleni, mfike salama
Kuna sredi niliona wakati wa Idd nadhani jamaa mmoja aliweka na watu walimshukuru sana. Kweli hapa sijaona shukrani japo vocha zimeshatumika...but again tenda wema uende zakoWaliopokea hizo vocha walishukuru au walipiga kimya?maana sijaona feedback.