AminiaFresh..
Duh! anaadvertise junk food!
Ukiyaelewa maandiko hautapata taabu. Chanya ya baadhi ya matendo ya mwanadamu ni hasi kwenye maandiko ya kwenye vitabu vitakatifu,na kinyume chake.Duh! Kazi mnayo!
Kipi kinastaajabisha?Uzi wa ajabu ajabu lakini unakomenti nyingi balaa..
Duh Mkubwa!
Amerika safari hii wamelamba dumeDuh! anaadvertise junk food!
Hapo nimekuelewa mkuu ...Basi tu roho mbaya
Kwa hiyo nisije nayo?
Huwa naupenda sana ushauri anao utoa daktari "pamoja na hizi dawa uwe unafanya mazoezi ya kutembea tembea" sasa ile unaingia kitaa kwa mazoezi ya asubuhi,mara limdada hilo na kitenge kimoja linaenda kwa mangi kununua mkate...
Sipatagi shida, naahirisha mazoezi naagiza Pepsi Kubwa tena ya moto ili niendelee kufaidi uumbaji..
Mkuu naona maendeleo ni mazuri. Tumshukuru Mungu
Uzi mtamu huu