Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

images (17).jpg
 

Huwa naupenda sana ushauri anao utoa daktari "pamoja na hizi dawa uwe unafanya mazoezi ya kutembea tembea" sasa ile unaingia kitaa kwa mazoezi ya asubuhi,mara limdada hilo na kitenge kimoja linaenda kwa mangi kununua mkate...
Sipatagi shida, naahirisha mazoezi naagiza Pepsi Kubwa tena ya moto ili niendelee kufaidi uumbaji..

Mkuu naona maendeleo ni mazuri. Tumshukuru Mungu

Maendeleo ni mazuri mno . Kama unavyoona, niko tayari kutetea heshima ya ukoo liwalo na liwe....

Huo mfano wako wa "limdada na kitenge kimoja linakwenda kwa mangi kununua mkate" umenirudisha pale mtaani kwetu Njinjo. Kulikuwa na lijimama limoja pale la Kimanyema linaitwa Mama Fide lilikuwa funga kazi. Utafikiri ni yale ya kuchorwa na Marehemu Ndunguru kwenye gazeti la Sani. Lilikuwa limenizoea sana na ilikuwa kawaida asubuhi kwenda kulitegeshea ili tu kulifaudu likimeng'enyuka kwenda pale Bulyaga kununua supu. Nilikuwa nasingizia eti nakwenda kuangalia mazoezi kwenye kakiwanja kale ka mpira pembeni akina Edward Chumila na wenzake wakifanya mazoezi. Haya mambo ni magumu sana shemeji
 
Back
Top Bottom