Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Yaani nimeliona Dole štu hilo..hio sehemu iliyobaki kwa juu kucha ya pili inakaa!Ndio hivyo.
Esta na wenzako mtakua hata hamjui hii ni nini
View attachment 1125404
#HichoKidoleSioChangu
Yaani nimeliona Dole štu hilo..hio sehemu iliyobaki kwa juu kucha ya pili inakaa!Ndio hivyo.
Esta na wenzako mtakua hata hamjui hii ni nini
View attachment 1125404
#HichoKidoleSioChangu
Kwa kweliUpele umepata mkunaji...
Uwiiii.. That is low for Obama!Mlifanya uzembe sana kwa kutokumchukulia Trump seriously tangu mwanzo. Sasa kawaharibia karibu kila kitu mlichojaribu kufanya. Total misikalikyulesheni yaani...
View attachment 1125367
š Sawa!!Bado miaka bilioni tatu na nusu. Nyota yetu hii (jua) itamaliza nishati yake (Haidrojeni na Helium). Itaanza kupanuka na kuvikaanga visayari vya karibu (ikiwemo dunia) kabla haijakolapsi na kuwa kablack hole. Ila mpaka wakati huo binadamu atakuwa ameshahamia kwenye masayari mengine huko kwenye magalaxy ya mbali...
View attachment 1125379
Hg nzuri nayo!
Unayoo?
Hapana sina mpaka niende maeneo yetu yale...Unayoo?
Habari za kutwa Dav?
Fresh..Hapana sina mpaka niende maeneo yetu yale...
Fresh sana za kwako?