Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

United watatakiwa kuvunja mikataba miwili ya rekodi ya uhamisho wa mchezaji wa safu ya ulinzi, ikiwa watahitaji kusaini mkataba na wachezaji wa safu hiyo kutoka England Aaron Wan-Bissaka, mwenye umri wa miaka 21, kutoka Crystal Palace na Harry Maguire, mwenye umri wa miaka 26, kutoka Leicester watakaolipwa pamoja pauni milioni 130. (Standard)
 
West Ham wanamlenga mchezaji wa safu ya kati ya timu ya Villarreal ya Uhispania Pablo Fornals, mwenye umri wa miaka 23, Baada ya kutuliza haja yao kwa kiungo wa kati wa Celta Vigo Mslovakia Stanislav Lobotka, mwenye umri wa miaka 24. (Guardian)
 
Weengi walikua hawajazaliwa hapa.Mimi hii redio imenikumbusha nikiwa na mke wangu kipenzi kipindi kile damu yamotoooo.Nakumbuka ndio alikua amejifungua mtoto wetu wa kwanza ana wiki moja tuu nyumbani hata kupona vizuri hajapona.Tulikua tunaishi chumba kimoja, yaani unakaa kitandani unawasha jiko ukinyoosha mkono unafungua mlango(mlango ni mmoja tuu).Basi tulivamiwa na majambazi wakilenga kuiiba redio kama hiyo na jiko la mchina(yale yanayotumia kerosini).

Wale wezi walijuta kuja kwangu.
Mmmh braza hii story sio ya mzee wa bradha orijino akakuhadithia nawe unakuja kutupiga chenga hapa

Sio umeoa juzi juzi jomoniiiii
 
Mlindalango wa Utaliano Gianluigi Buffon, mwenye umri wa miaka 41, anaweza kujiunga na Porto baada ya kuondoka Paris St-Germain, kuchukua nafasi ya Spaniard Iker Casillas, mwenye umri wa miaka 38. (Tuttosport - in Italian)
 
Back
Top Bottom