mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 81,403
- 422,411
Habari za asbh TANZANIA
Poti niaje mambo vipi pande hizo
Nabii wa likes
Jana na Leo nipo mkuu
Mzee wa mwakaleli hope yupo salama na maparachichi yake
Yupo huyu simwoni kabisa
Hahahaha mkuu mambo vipi
I love this lady, I love her so much. God bless and protect you from your enemies. You’re an inspiration to millions of Tanzanians in our beautiful Country.
Yule mzee amenishangaza sana lakini nimejaribu kuangalia jamii inayonizunguka kuna visa kama viwili vinashabiana na mwendawazimu huyunimejikaza mpaka nimeimaliza muda huu, huyu mzee kyun hyun alikuwa ni zaidi ya mwendawazimu.
sijapata kushuhudia mzee anayemchukia mtoto wake wa kumzaa kama yeye.
Mzee wa mwakaleli hope yupo salama na maparachichi yake
Kuna mitaa fulani nimemuona...Yupo huyu simwoni kabisa
Mh ipi na ipi mkuu.Daku ipi mkuu maana kuna mbili