Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,297
- 122,384
Hahahaha sijaona hiyo clip mkuu
Hahahaha sijaona hiyo clip mkuu
Usile ugali kipindi hiki Cha Mwezi mtukufu tafadhali .. Kula futari!!Nakulaga ugali. Wewe ulipotea
Itabidi niitafute kwa matumizi ya baadaye hahahahaHope itakufikia tu mkuu,inachekesha sana,,jamaa kafikia kuuza jezi ya man u hadi shilingi mia moja lkn watu,wapo kimya
Jamaa ikabd aseme manchester bure,watu wakatimua mbio
Futari sishibi.Usile ugali kipindi hiki Cha Mwezi mtukufu tafadhali .. Kula futari!!
Nilipotea wapi? Kwani ulinitafuta??
Hahaha nmeziweka hapa tayaliItabidi niitafute kwa matumizi ya baadaye hahahaha
Ha hahFutari sishibi.
Sikukutafuta ila sijakuona kwa muda flani hivi
Si unajua mimi mgeni hapa, bado sijazoea, nikizoea utaniona sanaHa hah
Hutakiwi kushiba sana hata hivyo hua tuna Daku pia baadaye.
Ukiona nimepotea ujue nimefata futari!!!
Sawa lakini haihitaji uzoefu sanaa ...Si unajua mimi mgeni hapa, bado sijazoea, nikizoea utaniona sana
Asante. Utaniona sanaSawa lakini haihitaji uzoefu sanaa ...
watu ni hawahawa nafurahi sana kukuona hapa pia.
Karibu sana CookieAsante. Utaniona sana
Mrembo nakusalimia
Asalaam Aleykum Hawachi..Mrembo nakusalimia