Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kitu kinachosubiriwa ni kuona mashabiki watampokea mchezaji huyo kwa staili gani kama watamshangilia kama walivyofanya kwa mastaa wengine kama David Beckham na Cristiano Ronaldo au atakumbana na kelele za kuzomewa. Kwenye mechi hiyo, PSG haitakuwa na huduma ya supastaa wake, Neymar, lakini kuna wasiwasi pia huenda Edinson Cavani akakosa mechi hiyo.
 
Zulfikar Ali Bhutto.
Bhutto alikua Kiongozi muumini wa Siasa za haki Barani Asia.
Mtawala huyu ingawa alichaguliwa Kidemokrasia lakini aliuwawa na aliyekua Jenerali wake wa Jeshi nchini Pakistani Mohammed Zia Ul Hag April 4 1978.
Ali Bhutto ingawa ameuwawa lakini sera zake zingali hai kwenye nchi yake
FB_IMG_1549905824278.jpeg
FB_IMG_1549911377058.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chelsea jana Jumapili ilianza mchakamchaka wa kucheza mechi saba kali ndani ya siku 22 wakati ilipomenyana na Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uwanjani Etihad.
 
Ratiba yao itahusisha pia fainali ya Kombe la Ligi dhidi ya Man City, Kombe la FA dhidi ya Manchester United na kwenda Ligi Kuu England ikimenyana na mahasimu wake wa London, Tottenham Hotspur na kuna mechi ugenini pia dhidi ya Malmo kwenye Europa League.
 
Ratiba yao itahusisha pia fainali ya Kombe la Ligi dhidi ya Man City, Kombe la FA dhidi ya Manchester United na kwenda Ligi Kuu England ikimenyana na mahasimu wake wa London, Tottenham Hotspur na kuna mechi ugenini pia dhidi ya Malmo kwenye Europa League.
 
Alipoulizwa kama anaona ugumu wa kupambana na ratiba hiyo, Sarri alisema: “Hakika.

“Ni hasa, kama unapocheza mechi ngumu shughuli ni pevu, cheki unatakiwa kucheza mechi mbili dhidi ya Man City, moja dhidi ya Tottenham, moja dhidi ya Manchester United. Kisha kuna Europa League. Ni ngumu sana.”
 
Chelsea iliingia uwanjani jana kutafuta pointi za kuirudisha kwenye nafasi ya nne katika msimamo wa Ligi Kuu England baada ya Man United kuiengua katika nafasi hiyo kufuatia ushindi wake wa mabao 3-0 dhidi ya Fulham huko uwanjani Craven Cottage juzi Jumamosi.
 
Nafasi ya nne inasakwa na timu kibao ikiwamo Man United, Arsenal na Chelsea yenyewe ili kukamatia nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao. Mechi ya jana Jumapili ilikuwa ngumu kwani Manchester City nayo ilikuwa ikihitaji ushindi ili kurudi kileleni kwenye msimamo wa Ligi Kuu England ikiendelea kuchuana na Liverpool katika mbio za ubingwa wa ligi hiyo.
 
Mohammed Zia Ul Haq
Huyu alikua Mkuu wa Majeshi wa jeshi la Pakistan toka March 1, 1976 mpaka Agost 17 1988 alipofariki. Aliuondoa kijeshi utawala wa Kidemokrasia wa Zulikar Ali Bhutto kwenye mapinduzi yasiyokuwa ya umwagaji damu julai 5 1977.
Ul Haq aliuwawa kwa ajali ya ndege August 17 1988 baada ya ndege ya jeshi la Pakistan aliyopanda pamoja na Balozi wa Marekani kulipuka.
FB_IMG_1549911608101.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUNA wanasoka hao wamekuwa maarufu kwelikweli kwenye klabu zao na wamekuwa ghali kutokana na vipaji walivyonavyo na viwango vyao wanavyovionyesha katika mechi za kila siku.
 
Lakini, baadhi ya mastaa hao wamejikuta wakiwa kwenye uhusiano mbaya na makocha wao na wengine wakishuka viwango vyao kiasi cha kuwafanya kutofurahia sana maisha kwenye timu zao wanazocheza kwa sasa.
 
Kitu kinachovutia ni kwamba wachezaji hao si kama wamekwisha kabisa viwango vyao, isipokuwa pengine ni upepo tu hauendi sawa kwenye timu walizopo kwa sasa na kwamba wanaweza kutoboa na kurudi kwenye makali yao kama wataamua kubadili timu kwa kuondoka katika klabu walizopo kwa sasa na kwenda kusaka maisha kwingineko.
 
Back
Top Bottom