Huyu jamaa mwenyewe kakubali
Messi kapewa mpira wake
HahahaHuhuhuhuhuhu bora stress za maisha kuliko za arsenal
pole mwenyew
Polee
Pole Sana aisee huyu chalii ni bora kabisa DunianiHapo niliweka like halaf ikabidi nitengue
Hamna asee mimi niko team Cr 7 huyo hanihusuPole Sana aisee huyu chalii ni bora kabisa Duniani
Talent tu Hakuna minguvu nguvu