Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Habari zenu wakuu,Nimekuwa na furaha sana kwa kipindi hiki ambacho mke na watoto wangu wamenitembelea kipindi hiki cha likizo yao.Hakika ukipa mtoto, usiache kumshukuru Mungu kila kukicha.Watoto huleta furaha ndani ya nyumba, faraja na amani. Watoto na mke wangu sasa ndio rafiki zangu wakubwa, sina upweke tena, najisikia furaha wanaponifuata kama kama baba na kujiona mshindi na shujaa ninapowajibika na kuwahudumia katika mahitaji na wajibu wangu kama Baba
Hakika ni furaha sana, naj wala sijatosheka kuwa na watoto zaidi kwakua nazidi kufurahia maisha mazuri kupitia Familia yangu.
Jamani, anayechelewa kupata watoto na mke mwema, anachelewa kufurahia maisha.
 
Usisahau kutoa like mkuu
pokea like
 
Back
Top Bottom