The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 19,254
- 42,873
Amina
Nashukuru MUNGU naendelea vizuri kwa sasa mkuu
Tuendelee kupeana zawadi bora na rahisi kuliko zote, lakini ya thamani sana, Dua na maombi.
Uwe na wakati mwema mkuu.
Amina
Nashukuru MUNGU naendelea vizuri kwa sasa mkuu
Awiiiiimy princess kama umemaliza unakuja kwa baba sehemu yako ipo tu unachota
Akhsante sana mkuuTuendelee kupeana zawadi bora na rahisi kuliko zote, lakini ya thamani sana, Dua na maombi.
Uwe na wakati mwema mkuu.
wanaoau mdogowako ?
Iko vizuri hiyo..Asubuhi nyingine ya kupasha motoView attachment 1875940