Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna watu wanapenda tu kuwasumbua watu wengine bila kuwa na sababu maalum, Wataalam wa Saikolojia hali hiyo huiweka kuwa kwenye kundi la watu wanaosumbuliwa na "Affective Negative Presence".
 
Mishipa ya neva kazi yake kubwa ni kusafirisha taarifa mbalimbali mwilini kutokana na kitendo husika, Mfano ukiumia kuna mishipa hufanya kazi ya kukupa taarifa eneo ambalo umeumia
 
Ziwa Kisiba: Linapatikana kijiji cha Lwifwa halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya, nje kidogo lilipo ziwa yapo majengo yaliyoachwa na Wajerumani. Kwenye Ziwa hilo inasemekana kuna mali nyingi ziliachwa na Wajerumani wakati wanaondolewa na Waingereza.
 
Back
Top Bottom