Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,917
- 24,674
🤣🤣🤣Abiria chunga mzigo wako 😂😂
Mr Zero fujo hizo sasa
Heh jamani kuna miguu imenipita humu!Kitendawiliiii
Kaoneshwa mguu unawaza kifua akioneshwa kifua atawaza niniiiiii
KD huyoHeh jamani kuna miguu imenipita humu!
Wekeni round ya pili tuone
Gomz - Mbagala
Nagongea nyundoMimi siwezi ona naibiwa hivihivi nikae kimya
Kaka anabembelezwa picha anavunga
#sijuihaelewisomo
Davet nasubiri picha niliyokuomba janaHahah! Stella adi ataota.....
Jana alitaka kuniacha mtupu hapa mana ukimbariki na hichi anaomba na kile nikaota tutafika mbali bora nikimbie
Ila alikuja Anko akamteka mtoto na lugha zao za asili wacha bro Moud afoke kwamba mbona hawaelewi elewi waache usanii wao
Aendelee kupumzika mzee wetu Capt KombaSiku kama ya leo miaka mitano iliyopita mzee huyu ametangulia mbele ya haki.View attachment 1371942
Kumbe ni private kabisa?
Wazima lakini?
Ila alikuja Anko akamteka mtoto na lugha zao za asili wacha bro Moud afoke kwamba mbona hawaelewi elewi waache usanii wao