Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,297
- 122,384
Uzee huu,mambo yenu vijananinge bana hicho sio cha shule hakina uimara wa kubeba vitu vingi. Cha urembo hicho
Uzee huu,mambo yenu vijananinge bana hicho sio cha shule hakina uimara wa kubeba vitu vingi. Cha urembo hicho
Aaah ninge kijana kabisa weweUzee huu,mambo yenu vijana
Watoto wanazaa?Hahaha
Muimbaji kutoka Colombia, Shakira ambaye ni mpenzi wa beki wa FC Barcelona, Gerald Pique amesema hataki kufunga ndoa kwakuwa mechi za nje ya ndoa ni tamu kuliko za ndani ya ndoa.
#Ndoa #UhuruAddress #LoveIsIand View attachment 1323741
Sent using Jamii Forums mobile app
aisee mm mzee kabisa wa enzi hizo maisha ni black and white.
#zaUzimaWako Ze Furaha
Hahah, andaeitini mnapenda uzee sana
#NjemaSana
#Naona_Umeamshwa_na_Wifi