capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,353
- 121,237
Nyingi ni original ingawa zipo chache za kuchora.
Vipi zina kuboa nibaridishe mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani TH.Shukrani sana ,ikawe njema na kwako pia
Nataka nimnunulie aunt wako kibegi cha shule, hiki cha namna hii si kinafaa??
good morning sweet creature
ninge bana hicho sio cha shule hakina uimara wa kubeba vitu vingi. Cha urembo hichoNataka nimnunulie aunt wako kibegi cha shule, hiki cha namna hii si kinafaa??
Kideo cha nani?Sijui nakwama wapi?? Hii siku ya pili mzigo upo na sina habari
Wazee wa connection mjini nifanyieni mambo tafadhali ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hee hawa nilidhan wameshaoanaHahaha
Muimbaji kutoka Colombia, Shakira ambaye ni mpenzi wa beki wa FC Barcelona, Gerald Pique amesema hataki kufunga ndoa kwakuwa mechi za nje ya ndoa ni tamu kuliko za ndani ya ndoa.
#Ndoa #UhuruAddress #LoveIsIand View attachment 1323741
Sent using Jamii Forums mobile app