Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

The Forest Lake. Lipo mkoa wa Tyumen huko Russia, ni moja kati ya maeneo machache Duniani ambayo mwanadamu hajawahi kuweka unyayo wake.
Jana nilikuuliza hapa ni wapi bro?View attachment 1228632
FB_IMG_1570633841735.jpeg
 
Bro. Nimejifunza haya mambo kwa vitendo kama mwalimu wa kujitolea katika shule za watoto wenye vipaji huko kwa Trump kwa miaka zaidi ya minne. Naingia darasani. Nawasaidia walimu. Najifunza wanavyofundisha. Naangalia mitaala yao ilivyo. Shule zao zimegawanywa katika michepuo tangu watoto wakiwa Middle School. Wanaotaka kuwa madaktari. Manesi. Wafamasia. Wahandisi. Wataalamu wa kompyuta, ufundi wa vitu mbalimbali (magari, ndege, umeme, Radiology technician, dentist assistant...)...Kama ni mchepuo wa udaktari, kwa mfano wanafundishwa kwa vitendo. ABC za kuwa daktari. Wanatembelea mahospitali. Wanaangalia madaktari wanavyofanya kazi. Madaktari wanaalikwa kuja shuleni na kufanya upasuaji mdogo mdogo. Wanajifunza kwa vitendo...Watoto wanahamasika sana.

Hili limekuja baada ya Marekani kujikuta inaachwa nyuma na nchi zingine hasa katika sayansi na tekinolojia; na wanahaha sana kubadili hiyo hali. Nao wamekumbwa pia na hatari ya kuzalisha wahitimu ambao hawana uzoefu kivitendo. Na mkazo sasa unaelekezwa huko. Mtu awe akimaliza high school awe na kitu tangible cha kufanya na siyo kukariri fomyula tu za Algebra na upuuzi mwingine.

Nimekuwa nikiandika andika mapendekezo yangu kuhusu jambo hili kwa muda mrefu na sasa nina kakitabu kabisa na mapendekezo kibao. Nataka nimpelekee waziri na naamini kwamba baadhi ya mapendekezo yatasaidia sana kwa sababu wala hayahitaji pesa nyingi. Japo najua yatatupwa tu huko lakini ni lazima tubadilishe mfumo wetu wa elimu vinginevyo huko tuendako hatutafika...

Asante bro ...
💪💪 gr8 mind, gr8 idea

Kwenye lile deni ninalokudai (The Other Side of Midnight) Ongeza na hilo la mapendekezo ....

#UkijaMlimaniTutayajengaZaidi
 
Safi bro,
Hako kakitabu sasa tutakapatia wapi?
 
Hongera sana kamanda, nakutakia kila la kheri kwenye mikakati yako.
Taifa letu pia linawahitaji watu kama wewe ili siku moja tubalishe vision yetu.
Inawezekana kweli Waziri atakitupa hicho kijitabu, lakini usikate tamaa, ipo siku atajitokeza mwingine atahamasika na ushauri wako
Bro. Nimejifunza haya mambo kwa vitendo kama mwalimu wa kujitolea katika shule za watoto wenye vipaji huko kwa Trump kwa miaka zaidi ya minne. Naingia darasani. Nawasaidia walimu. Najifunza wanavyofundisha. Naangalia mitaala yao ilivyo. Shule zao zimegawanywa katika michepuo tangu watoto wakiwa Middle School. Wanaotaka kuwa madaktari. Manesi. Wafamasia. Wahandisi. Wataalamu wa kompyuta, ufundi wa vitu mbalimbali (magari, ndege, umeme, Radiology technician, dentist assistant...)...Kama ni mchepuo wa udaktari, kwa mfano wanafundishwa kwa vitendo. ABC za kuwa daktari. Wanatembelea mahospitali. Wanaangalia madaktari wanavyofanya kazi. Madaktari wanaalikwa kuja shuleni na kufanya upasuaji mdogo mdogo. Wanajifunza kwa vitendo...Watoto wanahamasika sana.

Hili limekuja baada ya Marekani kujikuta inaachwa nyuma na nchi zingine hasa katika sayansi na tekinolojia; na wanahaha sana kubadili hiyo hali. Nao wamekumbwa pia na hatari ya kuzalisha wahitimu ambao hawana uzoefu kivitendo. Na mkazo sasa unaelekezwa huko. Mtu awe akimaliza high school awe na kitu tangible cha kufanya na siyo kukariri fomyula tu za Algebra na upuuzi mwingine.

Nimekuwa nikiandika andika mapendekezo yangu kuhusu jambo hili kwa muda mrefu na sasa nina kakitabu kabisa na mapendekezo kibao. Nataka nimpelekee waziri na naamini kwamba baadhi ya mapendekezo yatasaidia sana kwa sababu wala hayahitaji pesa nyingi. Japo najua yatatupwa tu huko lakini ni lazima tubadilishe mfumo wetu wa elimu vinginevyo huko tuendako hatutafika...

Asante bro ...
 
Natamani kujua zaidi kuhusu hii sehemu
Amazing!

Amazing!

Shukrani
 
Back
Top Bottom