Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,787
- 45,248
Unapenda sana ngumi.Nikajua Kuna wapendwa wamekunjana Sema huu uzi ninachoupendea ni amani na utulivu.
Basi tuu ile siku ukirukia mtu vichwa nilikua peke yangu.
Unapenda sana ngumi.Nikajua Kuna wapendwa wamekunjana Sema huu uzi ninachoupendea ni amani na utulivu.
Hahah! Ata mimi yule mpaka poda wa Kizungu alinilindia heshima hiyo siku laa sivyo nisingelala vizuriHahah...yule jamaa alifanya siku yangu niimalize safi kabsa
Wewe bae wa ninge bhana ila kuna bae wa uzi humuNiko hapa
Heheh!Wewe bae wa ninge bhana ila kuna bae wa uzi humu
Nilikua mahali hamna coverage nzuri ya mtandao ndio maana zikaja nyingi.Mpaka naanza kujisikia vibaya quote mbili mbili za kazi gani okay UTANI NAWE UISHE
Kuna watu ni wachokozi sana.Wewe bae wa ninge bhana ila kuna bae wa uzi humu
Wa bae wa uziHuu mkono wa binadamu mwenye jinsia gani?
Usinifanyie hivyo,hahahah eti jina gumu.! Huku ni joto tu,Ata sikunyimi kitu mimi, wewe je huko ulipo kwenye jina gumu unaninyima nini?
TRM nakuona
Nimemuona
#yupotayali
ushampata?Ndio Leo nimeiona
#namsubiriamwenyenayo
JizaziWa bae wa uzi
#theKingHimself
Heheh
#Mtasubirisana
Kweli..Maisha hayana formula