Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,297
- 122,384
#Aisee
#mtaachanatu
#wewesiowakunifanyiahivi
#Aisee
#mtaachanatu
😁😁😁dole skuli ndani
mkahawa wa wajane
makunduchi
jambiani
nto mbe le ooooo
kilima cha makufuli
mto barafu
kilima nye geeeeee
kwa bikhole
unguja ukuu
magogoni
mkamandume
jamani karibuni zanzibar ndio mitaa yetu
Kwema sana kamanda vipi hali yako?
Jambo jema bro...... Tupo pamoja sanaNamshukuru Muumba bro
Haha nikutoe huko nikupeleke wapi?Na mimi naomba unitoe huko jamani ....
Safi sana, naona ulipotea hapa kidogo
Popote tu ata kwenye ujirani nitashukuruHaha nikutoe huko nikupeleke wapi?
Sijapotea bana, nilikuwa na bae geti la chini tunadiscuss maisha 😛😛
Salama bro, habar za kwako? Kwema huko?
Sema kweli
Ngoja niisake#bintimpoleasionehiyopost
😅😅Nitakuja kilima nye gee