myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 147,570
- 656,065
Usiku uwe mwema kwetu wooote
Unaniuliza nini hadharani wakati unanijua ππππππWe ni bonge kwani?
We kwani tunashea kilugha sie? Hapana tafuta jina lako πππππππme too
We kwani tunashea kilugha sie? Hapana tafuta jina lako π
Bora wali mlenda kuliko man u
Daah ole tuliemsifia weee leo anatuvua nguo hadharaniππππππ hata arsenal wangu wana AFADHALI ππ
Daah ole tuliemsifia weee leo anatuvua nguo hadharani
πππππππππndiyo ujue sasa kwamba kabila letu ni moja π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Bora wali mlenda kuliko man u
haya bhana.
Mzima lakin?
Unaniuliza nini hadharani wakati unanijua ππππππ