Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Niko macho. Siku hizi mambo mengi yananipita. Nimefurahi sana kusikia kuwa nawe unajua vivumishi vya vingunge wa humu. Sikujua kama unajua kuwa bro wangu huyu aka yake ni King. Lakini unajua aliupataje huo uKing?

Swali chokonozi hili Mkatalunya ni king sababu Messi ni king wa kila mahali nafikiri amelichukua kutoka kwa Messi
 
Kwema bro, habari za uzima kumekuchaje huko
Najaribu kuomba maji ya uzima ya kunywa lakini niko na kiu kweli
Ulisema kuwa una miaka kadhaa hujaionja chemichemi. Kiu yake sipati picha. Bila shaka Fraggy atakuonjesha hayo maji ya uzima bro...

Huku kwema sana. Kuna mvua hapa na radi za kufa mtu otherwise hakuna jipya. Tumshukuru Mungu kwa kila kitu bro
 
Back
Top Bottom