Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sugua miguu yako kwa kutumia scrub ili kuondoa layer ngumu na iliyokufa ili ubaki na layer laini. Kusugua/exfoliate ngozi ngumu ya kisigino sugua kwa kutumia brush au jiwe maalumu la kusugulia hakikisha unasugua kwa utaratibu kiasi na si kwa nguvu sana ili kukupunguzia maumivu ndiyo ni ngozi ngumu lakini kama layer ngumu ikitoka inabaki delicate skin ambayo ni laini na nyororo!
Sawasawa..
 
 
 
852902879_247303.jpeg
 
Back
Top Bottom