Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
137,020
Points
2,000
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
137,020 2,000
Timu kibao zinaisaka huduma ya mchezaji huyo, lakini huko kwenye Ligi Kuu England, Tottenham Hotspur inaripotiwa kuwa kwenye nafasi nzuri ya kuinasa saini ya mchezaji huyo. Spurs inamtaka Ndombele baada ya Mousa Dembele kuondoka na Harry Winks kuwa majeruhi.
 
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
137,020
Points
2,000
Numbisa

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
137,020 2,000
Amemfuatilia kiungo Tanguy Ndombele na kuachana naye kabla ya kuhamishia mipango yake kwa kiungo wa Atletico Madrid, Rodri, ambaye ametajwa kuwa mrithi wa Sergio Busquets kwenye Timu ya Taifa ya Hispania.

Pep anaweza kupata huduma yake kwa Euro 70 milioni.
 

Forum statistics

Threads 1,315,790
Members 505,394
Posts 31,870,429
Top