Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,187
- 1,077,276
Ndiyo kunakucha. Kila mmoja wetu akawe na siku njema na yenye mibaraka
Kinakataa bro,nimejaribu lakini wapiHebu fanya testing kama kinakubali bro (hata kama hukihitaji) wakati bado nipo online.
Hulali bro? Au ulikuwa kwenye heka heka za kutimiza majukumu?
Ai givapu...Kinakataa bro,nimejaribu lakini wapi
Nilikuwa kwenye kutimiza majukumu bro
AiseeAi givapu...
Hongera kwa kupigania heshima ya ukoo na Wanyiramba wote kwa ujumla...
Mpaka kielewekeeee
Kwani mimi nawazaga kingine bro?Aisee
kumbe umemaanisha hvyo bro
Black Americans na Kwanzaa yao ya Maulana Karenga? Kizungumkuti tupu nao hawa jamaa
Black Americans na Kwanzaa yao ya Maulana Karenga? Kizungumkuti tupu nao hawa jamaa