Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
148,724
Points
2,000

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
148,724 2,000
Ndio hivyo.

Esta na wenzako mtakua hata hamjui hii ni nini
View attachment 1125404

#HichoKidoleSioChangu
Mmmh bradha kikubali tu kidole mbona 'kimejaziajazia'

Hio bana inaonekana tv. Kwetu tulikua nayo hitachi chogo kubwa ya kuangalizia egoli kisha isidingo enzi hizoooo
 
Davet

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2013
Messages
33,739
Points
2,000

Davet

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2013
33,739 2,000
Huku siwezi kulalamika bro...

Niko sehemu fulani hapa napata msosi kuna misambwanda ya kufa mtu dah. This is just too much jamani
Hahah! Zingatia kwanza kula bro hayo madude yanachanganya sana akili

Kwani upo kanda yetu tayari au huko huko Ziwani?
 
andjul

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2013
Messages
15,470
Points
2,000

andjul

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2013
15,470 2,000
Huku siwezi kulalamika bro...

Niko sehemu fulani hapa napata msosi kuna misambwanda ya kufa mtu dah. This is just too much jamani

Huwa naupenda sana ushauri anao utoa daktari "pamoja na hizi dawa uwe unafanya mazoezi ya kutembea tembea" sasa ile unaingia kitaa kwa mazoezi ya asubuhi,mara limdada hilo na kitenge kimoja linaenda kwa mangi kununua mkate...
Sipatagi shida, naahirisha mazoezi naagiza Pepsi Kubwa tena ya moto ili niendelee kufaidi uumbaji..

Mkuu naona maendeleo ni mazuri. Tumshukuru Mungu
 
Fragaria

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2019
Messages
7,200
Points
2,000

Fragaria

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2019
7,200 2,000

Duh! Kazi mnayo!
 
Fragaria

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2019
Messages
7,200
Points
2,000

Fragaria

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2019
7,200 2,000

Forum statistics

Threads 1,356,328
Members 518,876
Posts 33,130,647
Top