Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,116
- 1,076,959
Hahahah aah messi atakua na miaka 31 au 32 hiviMessi....
Jana si timu yake wamedhalilishwa tena?
Samahani kama nimechanganya madesa...
(Davet huyu anayerusha picha za katuni nimuulizie wa nini kwenye ishu za umri? Ingekuwa ishu za kuzinduliwa labda )
Tayari anaukaribia uhenga huyo...Hahahah aah messi atakua na miaka 31 au 32 hivi
Kama mie yelewiiiiiiTayari anaukaribia uhenga huyo...
Mwaka huu, mastaa kibao wa Ligi Kuu England walionekana ndani ya ndinga mpya wakienda nazo mazoezini, wengine kwenye viwanja kucheki mechi na kipindi kingine kwenda kwenye mitoko yao binafsi kufanya manunuzi ya mambo mbalimbali.
Mkikasirikaga ni hatari sana kwa kweli...Halafu wakati mwingine hata hamsemi mmekasirishwa na nini...
Oooh Puliiiziii...Kama mie yelewiiiiii