Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Welcome Zanzibar
FB_IMG_1558716337813.jpeg
 
Futari siyo lazima iwe tambi na mihogo, futari ni chakula chochote kinachoanza kuliwa na mfungaji, haijalishi unakula katles, smbusa, makande au tende.
Kwahiyo hata kipande cha samaki chaza na kachumbali chaweza kuwa futari madam
Zanzibar futari yake sio hiyo ya hapo lakini!

Najua ni chochote.. kuna kipindi nilikaribishwa futari Uturuki nilirudi nikaagiza take away ya Vipsi kuku! sikushiba hata!
 
Ni ukweli mtupu, zama za Fergusson wangekiona cha moto
mtemi ameongea
Lothar Matthaus on Manchester United:
"Players are not working well for them. They make a good salary, ‘everything is okay for me’, but then they have to show that quality in the team - not only for themselves. Players take United for a lot of money, and what they give back, this is not enough.”
 
Futari siyo lazima iwe tambi na mihogo, futari ni chakula chochote kinachoanza kuliwa na mfungaji, haijalishi unakula katles, smbusa, makande au tende.
Kwahiyo hata kipande cha samaki chaza na kachumbali chaweza kuwa futari madam
Hata maji yanafaa kuwa futari kwa maana ftar ni chochote unachofungulia kinywa baada ya jua kuzama yaani kuingia swala ya maghrib.
 
Back
Top Bottom