Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,012
- 54,174
Duh hongera mkuuWalijaribu mwisho wa siku wakachunwa wao
Duh hongera mkuuWalijaribu mwisho wa siku wakachunwa wao
Noma sana VE
Mtu nisiyejulikana mzee baba 😁Kwanini umejiziba mzee baba?
Naelewa naelewa mzee wa kaziMtu nisiyejulikana mzee baba 😁
Hey Love whats up?Hello Coco
SwadaktaaNaelewa naelewa mzee wa kazi
Tafadhali akuje alete majibu 😀 😀andjul kwanini umenitelekeza na watoto huku kijijini.
Unakula raha huko mjini na Carba.
View attachment 1102807
kwa mara nyengine Mzee amekosa uweledi na hekima ya kuzungumza, Mzaha kwenye dini tena mwezi huu wa swaum ni ukosefu wa nadharia ya kufahamu uzito wa shughuli yenyewe kwa waumin.
Anaposema kachanganyikiwa na sauti ya Qarii wa Quran wa kike ni dalili tosha kuwa hakustahiki kuwa sehemu ya mualiko wa tafrija hii adhim ya maneno ya Mwenyezi Mungu kwa waumin wa kiislam.
Mashindano haya si ya mzaha kama mpira bali ibada iliohitaji mwenye ufaham na uelewa mpana wa tafrija hizi za kiimani na umuhimu wake kwa jamii..
waandaaji wana mengi ya kusoma katika hili