Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

10ab2b6547230efabd99ef4c205d35b4.jpeg
 
Ukiona hivyo likely ni too skinny maandaeitini wanaogopa kuuliwa when the going gets tough.

Halafu nitapenda kuona solusheni yao wakioa vimbaumbau halafu huko mbele ya safari baada ya kupata watoto na misukosuko ya maisha vimbau vinenepeane na kufumuka misambwanda na nyama kila kona. Sijui ndo watatembeza talaka au sijui itakuwaje
Hahahah eti too skinny. Hawa wembamba wapo kasi balaa majimama yanawapenda acha tu

Ila kuendesha lori nacho kipaji adimu sana
 
Back
Top Bottom