Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 178,203
- 1,077,359
Muone !!!Mungu baba show me the way to go
Muone !!!Mungu baba show me the way to go
Binafsi nitakua home tu siku nzima, vipi wewe hujapata safari?Pasaka leo mnalia wapi wapendwa?
😁😁Muone !!!
Kuna msemo unasemaga ukiamua kula haramu chagua iliyonona, sasa hapo bro ulitisha sana maana kuna mwingine alifanya dhambi kama yako ila yeye alikua kichakani ila wewe ulikua huko juu na bado ulienda na ndege kweli life is not fair
Guess what?Kuna msemo unasemaga ukiamua kula haramu chagua iliyonona, sasa hapo bro ulitisha sana maana kuna mwingine alifanya dhambi kama yako ila yeye alikua kichakani ila wewe ulikua huko juu na bado ulienda na ndege kweli life is not fair