Bro bro...Japo ni mdogo ila usijali kwenye swala la mapenzi am extra large
Maslei kwini wote Satie ataondoka nao
Hehehe!! 😀Bro bro...
Si kwa promo hili wallahi....
Pasaka njema bro.....
Mwokozi Amefufuka leo. Na madhambi yangu yote ya kule Nyanda za Juu Kusini, na mengineyo, leo nimeyatubu na yamefutwa kabisa. Mungu ni MwemaHehehe!!
Kwako pia bro uwe na sikukuu njema kabisa