Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sehemu za kupaka perfume
Kuna sehemu kadhaa unaweza kupaka au kupulizia perfume. Ila katika hizi sehemu zote unapaswa kuchagua sehemu tatu za kupulizia unapotumia perfume, si vyema kupulizia sehemu nyingi sana. Pulizia perfume kwa kiasi tu, perfume nyingi sana kwa wakati sio nzuri.
 
Back
Top Bottom