Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Usifanye mzaha na tarehe ya mwisho ya pasipoti yako kabla ya kupanga safari.
Nchi zingine zina masharti ya kutaka pasipoti yako kuwa sahihi kwa siku 90 baada ya kuingia - ikiwa ni pamoja na nchi nyingi za Ulaya.
Ni vyema kutoa maombi ya pasipoti mpya miezi sita kabla ya tarehe ya mwisho, huo ndio muda inaotakikana nchini China, Indonesia,Urusi, Saudi Arabia na mataifa mengine.
Hatua hiyo itakuepushia madhila ya kukwama katika nchi ya kigeni kwa kukosa namna ya kurudi nyumbani.
 
455210738_51194.jpeg
 
Ikiwa wewe ni mkaazi wa moja ya vijiji 9 katika pwani ya Papua New Guinea, huhitaji kuwa na passpoti ya kuingia Australia kupitia Queensland.
Papua New Guinea ilipopata madaraka ilitia saini na makubaliano maalumu inayowawezesha watu wa Queensland kutembelea visiwa hivyo bila kuwa na paspoti
 
Back
Top Bottom